Picha; Sugu, Msigwa, Big Willy & Co. waiteka Mbeya

Ndiyo maana mimi nalipendaga sana hili lichama!yaani lipo imara sana,CCM ikijaribu kutumia hila life lakini halifi!naliombea kwa mungu lidumu!
 
Natabiri mwaka 2013 CHADEMA itafanya gharika kubwa na kusomba wote waliokuwa na roho ngumu baada ya kugundua ulaghai wa CCM!

Hakika El Nino imeanza!
 
I wish mikoa yote ingekuwa kama Mbeya,inatia moyo sana wapiganaji wanapowakilisha vizuri huko Mbeya.Big up!
 
I wish mikoa yote ingekuwa kama Mbeya,inatia moyo sana wapiganaji wanapowakilisha vizuri huko Mbeya.Big up!
Roma haikujengwa siku moja. Wapo njiani wanakuja utawapenda subiri saa ya vita ya ukombozi itakapotangazwa na jemadari wa mpambano na kutaja brigedia wa vita hiyo.
 
Back
Top Bottom