Picha - Speaker Makinda na hijabu



Anaonekana msichana mbichi kabisa, mavazi jamani hubadilisha ndo maana wenzetu wanalipendelea vazi hili.
 
heee huyo ni yeye?mbona amekuwa na kamvuto kwa mbali.usiniambie kunyagi inanidanganya
 
Nakichukia hiki kibibi nowdaz, kimevuruga kabisa Bunge limekuwa kama kundi la ze komedi na mipasho
 
Anaubichi gani nae huyu. Upya wa gari haungaliwi plate namba. Ngoma nzeeee kabisa hiyo kama nia muwa basi mgagi. Mwanamke sura na roho mbaya kama anafanya kazi mochwari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…