sebule ya kibongo lazima iwe na vinyago, picha, mataji ya maua, ndoo ya maji, baiskeli, au pikipiki, vitenge vilivyotundikwa ukutani, ramani ya afrika, picha ya rais, bendera ya chama, tairi za gari n.k. mengine nisaidie kujaza

Mkuu kibafute umenichekesha sana eti kibakuli cha kuzimia bange. Mi niongeze na mabandiko yanayoonesha amri kumi za mwanamke na mwanaume mwema. Na kuna ile ya UYAONAYO UYASIKIAYO YAACHE HAPAHAPA