Mtingaji
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,223
- 367
Maneno ya mwandosya yamefanya ccm wamekimbia press conference yao,.
Masikini Nape Nnauye
HAHAHAHAHAH.... eti walikuwa wanahamasisha watu wajiandikishe kwenye BVR. Kumbe mtu ukishikwa pabaya lazima tu utalia 'MAWEEEEEEH'!