Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Naona hata meno yamefanana na ya binadam
A real monster!Naona hata meno yamefanana na ya binadam
BASHITE, naona dawa zake zinapungua nguvu sasa
ha hahaaKwa hiyo anapiga mate kama kawa?
Acheni kumfananisha binadamu na vitu vya kijinga
Huu ni uongo mkubwa sana. angalia dental structure ilivyo kaa na pembezoni mwa mdomo utagundua meno ni madogo kuliko mdomo, yaani mzunguko wa mashavu hayaendani na mzunguko wa meno,alietengeneza picha amekosea huo mzunguko na ameweka meno yenye size ndogoAcheni kumfananisha binadamu na vitu vya kijinga