Picha: Salute Red Brigade Mbeya

Yah,Mbeya nchi Rais Sugu!
_kuna wale wa kike nao wapo njema sana!


~~hiyo lazima mizoga ya sisiem waige

Msitutishe na hawa kike wa kwenu.

Hata sie tunao wa kwetu wa kike. Ona mwenyewe ha ha ha


 
....

....ha ha ha ha !!!


sheri na belaa umugongo na pasi ayii mama ..na belagaa na viti maalum nabelagaaa...aisee PEPEKALE !!!

 
Bangi bwana...!

Hahahaaaa yani mkuu unanifanya nacheka sana kila ninapoona comment zako kwenye jukwaa la siasa, pole lakini kumbuka maisha ni dynamic na siasa nayo iko kama maisha
 
....

....ha ha ha ha !!!


sheri na belaa umugongo na pasi ayii mama ..na belagaa na viti maalum nabelagaaa...aisee PEPEKALE !!!


Ndomana hii nchi imelaaniwa, ona viburudisho vya ....... vimeweka foleni ili kumnengulia, Nyerere hanaga upuuzi kama huu
 
Sugu,Sugu alaaaaaaa! na hiyo ni jana ktk viwanja vya Ruanda-nzovwe.Mbeye stand up!! CHADEMA ONE WAY
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…