Mmh riyama na wewe nakupenda ila ndo mwanaume gani huyo akii?? Ptuuu!! Mwanaume anataka mpaka boxer anunuliwe? Ni nini unatafuta? Ndoa au nn? Mtoto mzuri unaenda kuhangaika na wavuta bangi , hata kama mahaba hapana kwa kweli, pesa zenyewe unazomhonga mpaka upate elfu 20 za bongo movie, bado familia inakutegemea, mashost wamekusema wee kuhus huyo bwana wee kujitia mahaba niue uambilik pesa zote unahonga kwa bwana...ptuuu tutayaona
Uwiiiiiii hapana kwakweli! Haya mapenzi sijui yameingiliwa na kitu gani jamani!
Ona sasa Riyama anajishushia heshima yake hivihivi.
Japo tusiwahukumu ila kumpata kijana wa umri huo mwenye mapenzi ya dhati ni nadra sana.
Wengi wanawafuata hao mastar kutafuta kick ili wafanye vimiziki vyao uchwara kama Nuhu na Shishi.
Zari, shilole, riyama, wema....hili collabo wanaweza kufungua kituo cha kulea vijana(marioo)
Hamjapata wa kuwakuna vizuri ndio maana mnatusema vibaya
HahahaaaaaZari, shilole, riyama, wema....hili collabo wanaweza kufungua kituo cha kulea vijana(marioo)
Binamu hicho kivulana sio kile kilichoimba okelo wa show?Ulijuaje binamu? Ukimuona riyama anavyohangaika kumfanyia promo huyo kijana na kumhangaikia mpaka utamuonea huruma kisa mahaba mxieew apelek huko upuuzi...yan hapo riyama ndio kaoa...kila kitu anahudumia
Mmh riyama na wewe nakupenda ila ndo mwanaume gani huyo akii?? Ptuuu!! Mwanaume anataka mpaka boxer anunuliwe? Ni nini unatafuta? Ndoa au nn? Mtoto mzuri unaenda kuhangaika na wavuta bangi , hata kama mahaba hapana kwa kweli, pesa zenyewe unazomhonga mpaka upate elfu 20 za bongo movie, bado familia inakutegemea, mashost wamekusema wee kuhus huyo bwana wee kujitia mahaba niue uambilik pesa zote unahonga kwa bwana...ptuuu tutayaona
Hamjapata wa kuwakuna vizuri ndio maana mnatusema vibaya
Binamu hicho kivulana sio kile kilichoimba okelo wa show?
Yaani siasa hizi hata habari za mujini sizijui tena.
Sasa hivi wanawake sijui wamejua nini!
Lakini hata sisi wasichana hatutaki vivulana hivyo ngoma draw.

Embu mwacheni mwenzenu. Wanawake mbona hampendani hivyo.kapata mkunaji wacha akunwe . angebaki alone mngesema huyu anazeeeka tu hataki bwana.ukiona ameangukia hapo inamaana hao mnaowataka awe nao hawamfuati
Na kama mnampenda sana riyama na kumtakia mema basi si mna makaka? Mpeni mmoja atulie
Heeee! Hebu nitolee balaa lako hapa.Katafute jimama likulee huko mie wa nini wewe?baada ya uchaguzi nitakutafuta nami unilee, ngoja kwanza tupambane kwa ajili ya tz
Hata kwa maneno ambayo huwa nasikia kutoka kwa marafiki wanasema wababa wako vizuri sana, no stress na wanajua kujali.Wazee wanatuibia wasichana wetu, nasisi bora tuwaibe wamama....ila wamama wanamambo mazuri wanatufanya tunatulia na kufa nya kazi fresh eg daimond, nuh, na vjana wengne wengi wasiokuwa maarufu
Hahahaaaaa ngoja nijisalimishe! !!!!Mkuu wanawake wa hili jukwaa sijui wanaroho gani....kila uzi unao letwa either mtu kavikwa pete au kafunga ndoa hawaishi kumsema vibaya...
Wanawake kwanini mna hii tabia? wolper kasemwa..yule mwanamitindio mwembamba alisemwa humu..
sio wote lakini
Hata kwa maneno ambayo huwa nasikia kutoka kwa marafiki wanasema wababa wako vizuri sana, no stress na wanajua kujali.
Nyie nendeni tu wala hamtutishi.