galimanywa
Member
- Apr 6, 2012
- 86
- 26
Wakati Kibaki anajivunia kuongeza makusanyo ya mapato kiasi ch kufikia kukidhi 90% budget ya Kenya. Huyu mswahi anajivunia kukusanya watu Igunga, inamaana kwenye mind yake bado kunasomeka "kampeni ya urai 2010".
"ACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO"
"ACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO"