PICHA: Prof. Jay akiinadi CHADEMA Ifakara

Huyu tunasubiri mda wa kikatiba tumpe jimbo
 

Unapojibu simama kwenye mada husika bhana..! Mambo ya ARV, sijui kusaka tonge, Lady Jay D.. yanahusiana vipi na topic ya mtoa mada? WEWE NDIO MBEA MKUBWA!!
 
Is it just me who thinks this guys flow is lame, lyrics are weak mi hata sielewi washabiki wake mwana fa ndio mfalme.
 
Haha ha ha ha tetete teh teh... ina maana hapo alikua anatangaza biashara ya kisamvu cha kopo au mibange ndo ilikua inamdatisha??? Dah duniani kuna watu na viatu.

bangi zinamtesa huyu. Alafu wao wanasema ndo mbunge wao mtarajiwa
 
Ila ukiiweka political alignment yako in public alaf wewe ni public figure; ina negative effects nyingi sn coz mashabiki wa Jay c wote wana CHADEMA
 
safi kamanda kimbiza pamoja sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Pro.Jay Ifakara Jana
Mpe neno la kizalendo[/QUOTE]
 

Kiruu hivi mpaka sas kuna mtu anathubutu kumsonda mwenzake kidole juu ya ukimwi kweli!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu mwenzake anayegombea morogoro mjini yupo wapi na mibangi yake.
 
Kafanya huyu imekuwa nongwa, ila wakifanya SAMBAZA UPENDO ,utasikia Mara oooh wamethubutu, ohhh Mara kama RIhana. Hii picha wala sio issue kama vipi njoo ferry ujionee.

Mkuu maji yakishamwagika hayazoleki, hata Afande Sele mwenyewe anajuta sana kufanya kitendo hichi,
historia ndio inamhukumu ila bangi zilimponza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…