Picha, pilikapilika ya maziko mapya Lugambwa

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
bkb.jpg
 
Mazishi yamemuibia Kilaini askofu mwanasiasa na kuwadi wa CCM! Shame on you Kilaini kwa kujirahisi kutumiwa kisiasa. Methinks unamiss sana Dar.
 
I thought you are a Father of all as you call yourself,but how can you post such of a coment,have you met any of these Religeous leaders and talk to them one on one and hear their views about politics..??
 
It might be just a title!
 
Hawa nao kukosa kazi tu huko, si wakahubiri huko watu waokoke?? Au kumewashinda sasa wanabaki kuzunguka tu na mifupa.
 
Mh,hivi bado anaamini Vasco alikuwa Chaguo la Sir God?

Kumshabikia jamaa imekula kwake. Aliyeshika nafasi yake mmoja wapo kama askofu msaidizi jimbo kuu la Dar ameshapewa jimbo lake la huko kusini mwa Morogoro, wakati aliyesema Kikwete Chaguo la Mungu bado anasota kuwa askofu msaidizi. Sijajua alipata wapi ubavu wa kutoa matamshi hayo wakati mfumo wa hawa jamaa ni tamko la pamoja si la mtu mmoja mmoja. Hii inaweza kumpunguzia credit za uongozi kwa hawa jamaa walivyo na intelijensia kali.
 
Back
Top Bottom