PICHA: Panya road wawili wauwawa

PICHA: Panya road wawili wauwawa

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,505
Reaction score
8,256
ImageUploadedByJamiiForums1420297059.741983.jpg
 
nimefungua nikiwa na picha yangu kichwani,hatimae nakuta panya kwel😕
 
Haaaahaaaa, we Sexer, hao si panya road, ni panya house. nakutumia panya road og uwafahamu.
 
Japo umefanya utani, na hao "panya road" kwa sasa ni janga. Labda kama una ushirika na Kova.
 
yaani nimefungua fasta..nakuta panya hawa....kweli umetuweza
 
Kati ya panya road na mafisad wa ccm yup alaumiwe? Anyway nimecheka sana! kwa kuwaonea panya wasiokua na hatia kwa i ardh ya dhuluma ya kitanzania !
 
We huoni hapo wameuwawa kwenye road la changalawe!!

Hahahahahahahhahahahahahahahahhaahhahahahahahahahhahahahahahhahahahahahhaahahahahahhahahaah!!!! It is quite fine pamoja na reality and existence ya panya road kiukweli.

NAWAOMBA TU JAMII FORUM WAANZISHE THREAD NYINGINE YA COMEDY MAANA NDIO PALIKUWA MAHALA PAKE.

NASHAURI TU PIA TUWE NA SEHEMU ZA MIZAHA NA ZA SERIOUS ILI YUWEZE CHANGANUA NA KUCHANGIA POINTS NA HOJA GENUENELY.
 
😝😛😜😄😃😁😀😀😀😬daaa hiyooo kibokooo
 
Ninaham sana ya kukutana nao haya majizi yani itakuwa fundisho kwao. Siifanyii haki kabisa black belt yangu.
 
Hahaahahaaaaaaaa!JF kiboko,nakuja Buzuruga Plaza hapo nikutoe kiroba kimoja mkuu Sexer
 
Last edited by a moderator:
Hahaahahaaaaaaaa!JF kiboko,nakuja Buzuruga Plaza hapo nikutoe kiroba kimoja mkuu Sexer

Ndugu yangu hiyo kitu ya kunywa huku unakunja uso+kufumba macho ndo panya road wanakuteka kabisaaa, bora uje lunala tutafune mnyama
 
Last edited by a moderator:
JF sasa hivi imejaa vitoto ni balaa...na hizi smartphone basi ndo majanga...vichwa naona vimekimbia huku vimebaki vichwa vya shule za kata...Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Ndugu yangu hiyo kitu ya kunywa huku unakunja uso+kufumba macho ndo panya road wanakuteka kabisaaa, bora uje lunala tutafune mnyama

Poa kamanda kesto laiti itakuhusu basi
 
Back
Top Bottom