Picha:Pacha wa Lionel Messi aonekana "Tehran" Iran,

Picha:Pacha wa Lionel Messi aonekana "Tehran" Iran,

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,475
Reaction score
4,454
d66225f79a79847f6bfab346c3927a21.jpg



6a1013c7ca51c8323bcd164ae695c528.jpg




Reza parastesh raia wa Iran anayepatikana Tehran amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya picha na muonekano wake kufanana na mwanasoka anayechezea timu ya Barcelona na Albacete Lionel Messi.

Je amefanana kweli na Messi au porojo tu
 
1st to reply,,wamefanana kias kikubwa sana
 
Wamefanana kishenzi hasa hiyo picha ya kwanza.

Huyu jamaa kama ni mjanja anaweza kuutumia huo muonekano wake kibiashara.
 
Back
Top Bottom