....
Mungu akubariki Kamanda !!!! Kweli...Mungu amekutuma kuwakombowa Watanzania !!!
Hawa watoto wameshajiandikisha kupiga kura?
......Taifa linaandaliwa ...huenda wanaakili kukuzidi !!!
Hawa watoto wameshajiandikisha kupiga kura?
Ww umeona hao watoto tu kwenye hizo pic zote? Anyway wamepata bahati ya kupata elimu ya uraia mapema ktk umri wao mdogo!
Kwahiyo una akili kama za hao watoto?
Mimi nazungumzia hao watoto tu.
Ww umeona hao watoto tu kwenye hizo pic zote? Anyway wamepata bahati ya kupata elimu ya uraia mapema ktk umri wao mdogo!
.....watoto wamekuja kusikiliza mkutano wewe ulitegemea tukuvalishe kanga mpya ?
Ww umeona hao watoto tu kwenye hizo pic zote? Anyway wamepata bahati ya kupata elimu ya uraia mapema ktk umri wao mdogo!
Kwani hao watoto hawana haki ya kuhudhuria na kusikiliza mikutano ya CDM?Mimi nazungumzia hao watoto tu.
Kwani hao watoto hawana haki ya kuhudhuria na kusikiliza mikutano ya CDM?
...Asubiri khanga za bure magamba wakimtembelea !!!
Mimi nazungumzia hao watoto tu.
bei ya kiroba muulize mbunge wako mariam msangi aliyekuwa anakunywa nje ya bunge pale makole bar kabla ya mjadala wa escrow haujaanza cc[MENTION]msalani faizafoxy simiyuyetu[/MENTION]Mmmh! Naona hatuelewane basi ngoja nikanunue kiroba! Hivi kinauzwa bei gani?
Mkuu si uliapa siku ile kuwa Mbowe hakuhutubia Mpanda na ukaja kuhadhirika vibaya ITV na magazeti yalivyoitoa hiyo habari. Tangu siku hiyo nakudharau sana.