ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,040
Elimu ndugu, sio hao tu, hata wale wanaowaita wapinzani wao kwa majina mabaya na matusi ni mbegu tu, zikioteshwa na kukomaa matunda yake ndio hayo. Ubongo wa mwanadamu uko na udhaifu sana.wafia Chama .......uyo jamaa kama anaenda kuua chatu kumbe tofa anaenda kumtwisha binadamu