Picha: ODM walipokutana uso kwa uso na Jubilee, sijui nini kingetokea kama ingekuwa CHADEMA na CCM

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
0fgjhs5mer46mt49d.3e263455.jpg

0fgjhs5lqkgfib43v.9900b471.png

0fgjhs1mfskg68f5rg.a7a4ffb4.png

tujikumbushe kwetu kidogo kutoka maktaba...

Cases+of+breach+PHOTO.jpg

KandawaChademaakikimbizwa.jpg

img-20170311-wa0044-1-jpg.479676

Inabidi siasa zetu zikue,
Ili nchi iendelee inahitaji SIASA SAFI...
Uvumilivu wa kisiasa ni muhimu, Tuache hoja zigombane sio miili, maana inahitajika kwa maendeleo ya baadae ya familia ya mtu mmoja mmoja na nchi kwa ujumla...
 
Licha ya mapungufu mengi ya siasa za kenya hasa ukabila na ukanda ila kwenye demokrasia ya vyama vingi wanajitahidi sana.... jinsi kenyatta au kibaki alivyotreat upinzani ni tofauti sana na hapa kwetu . Kwa hapo nawapa big up wakenya
 
Woman killed after Jubilee, Ford Kenya supporters clash in Bungoma

By Raphael Wanjala | Updated Sat, June 3rd 2017 at 07:47 GMT +3

A woman was killed on Friday after supporters of rival political parties clashed in Bungoma town.

The woman, whose details are yet to be revealed, is said to have been hit by a stray bullet. Trouble started when supporters of Jubilee and Ford Kenya governor aspirants clashed in the town centre.

Ford Kenya's Wycliffe Wangamati had just been cleared by the IEBC and was on his way to Bungoma Bus Park where he was to address residents. His supporters clashed with those of Governor Ken Lusaka of Jubilee.

Both Lusaka and Wangamati were whisked away by their security officers, with the incumbent heading to Posta Grounds while Wangamati headed out of town for his campaigns.

Lusaka's rally was disrupted, forcing the police to lob teargas and fire in the air to disperse the supporters.

"We would like to have a peaceful campaign. Action should be taken on those responsible," Alfred Khang'ati, the ODM candidate, said.

Tatizo kwetu wote hawana hoja, haiwezekani we hoja iwe kuingia tu ikulu, huku wengine waseme hao wataleta vita, bado sana.

Vyama vyetu leo, havina sera wala itikadi zinazozisimamia kwa dhati, misingi ya vyama haijulikani, leo usawa kesho ufisadi, kesho rambirambi hatuna lenye mantiki la kulihubiri.

Hivi leo ukiruhusu cdm na ccm yawe masomo darasani, hata kwa ngazi ya shule ya msingi, hayo masomo yatabeba mada zipi unadhani?

Kukosa nguvu za hoja ndiko kunakopelekea hoja za nguvu kutumika.
 
Angalia kwenye kampeni zetu, kweli watanzania ni vilaza haswa wasomi wa vyeti, naamini kweli elimu ya mtaani ni bora maradufu kupita ya vyuo vyetu.

Kwenye kampeni, mgombea anasema tu nitajenga barabara za lami nchi nzima kwa mwaka mmoja tu, anaishia hapo tunamshangilia na kumpa kura zetu, alipaswa aulizwe kivipi hilo litawezekana? Na mchanganuo atakaouleta ndo umpe kura.

Nitamaliza tatizo la foleni Dar kwa siku mia moja tu, aseme, nitaweka sheria Dar magari binafsi, bajaji na baiskeli marufuku, labda, wapi sisi vigelegele tu.
 
Pamoja na mauaji ya huyo mama.
bado hii scene ni ya kupongezwa na kusisitizwa na sisi tuna ya kujifunzwa kutoka kwenye tukio hilo
0fgjhs1sa066i2d97.942e3f91.jpg
 
umeandika madini mkuu
 
Pamoja na mauaji ya huyo mama.
bado hii scene ni ya kupongezwa na kusisitizwa na sisi tuna ya kujifunzwa kutoka kwenye tukio hilo
0fgjhs1sa066i2d97.942e3f91.jpg
Kwetu upinzani ni uadui, leo akionekana Lowasa na Magufuli wanagonga mvinyo, utasikia Lowasa ni msaliti, kichwani empty sisi. Kuwa upinzani kuna maanisha usifanye kazi serikalini wala kuisaidia kwa lolote, wakati nawe ni mwananchi na vizazi vyako vyote vitaishia hapa.

Watu wanahoji mpinzani kuwa RC baada ya kujipongeza na kuchukulia kama ni advantage kisiasa.
 
Angalia kwenye kampeni zetu, kweli watanzania ni vilaza haswa wasomi wa vyeti, naamini kweli elimu ya mtaani ni bora maradufu kupita ya vyuo vyetu.

Kwenye kampeni, mgombea anasema tu nitajenga barabara za lami nchi nzima kwa mwaka mmoja tu, anaishia hapo tunamshangilia na kumpa kura zetu, alipaswa aulizwe kivipi hilo litawezekana? Na mchanganuo atakaouleta ndo umpe kura.

Nitamaliza tatizo la foleni Dar kwa siku mia moja tu, aseme, nitaweka sheria Dar magari binafsi, bajaji na baiskeli marufuku, labda, wapi sisi vigelegele tu.
Siku ujinga ukipungua kwa kiasi kikubwa tutakuwa na siasa za level ya juu sana tu.
Haiwezekani jamaa anaahidi Kuwajengea zahanati wananchi, anaweka msingi, miaka mitano ikikaribia kuisha anakuja anaweka kama kozi mbili, mkimchagua anaacha tena ikikaribia anaweka hadi kwenye lenta. mtu anaishi kiujanjaujanja miaka hata 20 inapita ni kiongozi...

Wananchi pia ni watu wa kushangaza sana, Kwa nini uchukue pesa ili umchague mtu aje awe kiongozi wako.
 
Kwetu upinzani ni uadui, leo akionekana Lowasa na Magufuli wanagonga mvinyo, utasikia Lowasa ni msaliti, kichwani empty sisi. Kuwa upinzani kuna maanisha usifanye kazi serikalini wala kuisaidia kwa lolote, wakati nawe ni mwananchi na vizazi vyako vyote vitaishia hapa.

Watu wanahoji mpinzani kuwa RC baada ya kujipongeza na kuchukulia kama ni advantage kisiasa.
Hapo mpinzani kuwa RC inaweza kumpa competitive advantage akafanya kazi na kuwa kinara nchi nzima. Siku akisema arudi kugombea kupitia itikadi zake hata yule mama anaweza kuja kuwa Rais wa Kwanza Mwanamke Tanzania.
Kwake ile ni Fursa pia...

kwa siasa za tangu 2015, mkuu wa mkoa anaweza kufanikiwa sana na kupata sifa kubwa kuliko mbunge...
 
Licha ya mapungufu mengi ya siasa za kenya hasa ukabila na ukanda ila kwenye demokrasia ya vyama vingi wanajitahidi sana.... jinsi kenyatta au kibaki alivyotreat upinzani ni tofauti sana na hapa kwetu . Kwa hapo nawapa big up wakenya
Kenya heshima imekuja baada ya kuchapana kidogo ile mwaka 2008 na baadae kuunda katiba mpya..
huko sahivi hakuna ujinga tena kama hapa kwetu
 
Back
Top Bottom