Picha: Nyerere mdogo!

Nimependa suruale ya huyo jamaa wa katikati. Alaf tusaidie majina ya hawa jamaa bas. Manake nakukubali mkuu..
Suruali ya mchelemchele enzi hizo ndio zilikuwa za matawi ya juu,huyu Joseph ndie aliyetoa kiwanja chake ijengwe hostel pale Mwananyamala
 
Suruali ya mchelemchele enzi hizo ndio zilikuwa za matawi ya juu,huyu Joseph ndie aliyetoa kiwanja chake ijengwe hostel pale Mwananyamala

Hapana pale palikuwa OPEN SPACE mango garden yote mpaka kule nyuma......Mzee huyu hakuwahi kuwa na kiwanja na alikuwa anaishi NHC pamoja na kaka yake kuwa mutu mukubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…