Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
....
....wenye kumjuwa huyu mtujuze !!!
Manchester United hatushikiki....kama nyegere
....wenye kumjuwa huyu mtujuze !!!
Manchester United hatushikiki....kama nyegere
huyu si yule defence mechanism yake ni ushuzi!?
huyu si yule defence mechanism yake ni ushuzi!?
Tafadhali ndugu naomba tusiharibiane majina na kupeana sifa mbaya! ... teh! teh! teh!Ndo huyu..akiingia kwenye mzinga wa nyuki anawajambia na lazima atoke na sega la asali
Naam kwenye upande wa kutu fearless hilo ni kweli kabisa ... umenipatia maana siogopi mnyama yeyote yule!Kwa kizungu anaitwa honey burger ni miongoni mwa fearless animals in the world.. hata simba kamshindwa
ndo nimemuona na kumskia leo.....
Naam kwenye upande wa kutu fearless hilo ni kweli kabisa ... umenipatia maana siogopi mnyama yeyote yule!
![]()
Ndo huyu..akiingia kwenye mzinga wa nyuki anawajambia na lazima atoke na sega la asali
Kwa kizungu anaitwa honey burger ni miongoni mwa fearless animals in the world.. hata simba kamshindwa
Ila mimi nipo siku nyingi tu .. karibu ndo mwanzo wa kumfahamu Nyegere as they say JF ni kisima cha maarifa maana sasa utaweza kufuatilia links & sources nyingi ili kumfahamu zaidi huyu kiumbendo nimemuona na kumskia leo.....