Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,607 Reaction score 167,415 Dec 1, 2011 #41 ndyoko said: mkuu usisahau kuiweka ile bembea ya jamaika, plz! Click to expand... people were feeling high. Walikuwa wanabembea baada ya kupata "mmea"
ndyoko said: mkuu usisahau kuiweka ile bembea ya jamaika, plz! Click to expand... people were feeling high. Walikuwa wanabembea baada ya kupata "mmea"
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,607 Reaction score 167,415 Dec 1, 2011 #42 Saint Ivuga said: sasa hivi nguvu zote church View attachment 42422 Click to expand... naomba msaada wako, niingie ikulu 2015
Saint Ivuga said: sasa hivi nguvu zote church View attachment 42422 Click to expand... naomba msaada wako, niingie ikulu 2015
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Dec 1, 2011 #43 na ile yupo na steven seagal na sumuni hamsini..
KIMICHIO JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 1,179 Reaction score 81 Dec 2, 2011 #44 View attachment 42544wakuu nadhani hapa nitakuwa nimewatendea haki??
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,729 Dec 2, 2011 #45 Daudi mchambuzi said: Usiku huu ilitumika kodi ya watanzania yenye thamani sawa na malipo ya kiinua mgongo ya wazee 20 wa east africa community. Click to expand... hata kitenge alichoshika dada kitakuwa kimetoka bongo, inaonyesha mkuu anapenda kutoa/kupokea zawadi za nguo.
Daudi mchambuzi said: Usiku huu ilitumika kodi ya watanzania yenye thamani sawa na malipo ya kiinua mgongo ya wazee 20 wa east africa community. Click to expand... hata kitenge alichoshika dada kitakuwa kimetoka bongo, inaonyesha mkuu anapenda kutoa/kupokea zawadi za nguo.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,729 Dec 2, 2011 #46 Hii nayo niliiona mwaka huu, wakianza kubabuka sijui watamlalamikia nani.
kifinga JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 5,249 Reaction score 9,622 Dec 6, 2011 #47 huyu mama si ana certificate ya mwalimu wa shule ya msingi PHD kapata lini