Picha nilizoziona mwaka 2011

weka ile picha ambayo mababa mazima na mangele yao south pole yanasukuma gari la Jairo huku dereva wa gari hilo akiwa amufunga breki makusudi
 
weka ile picha ambayo mababa mazima na mangele yao south pole yanasukuma gari la Jairo huku dereva wa gari hilo akiwa amufunga breki makusudi

mkuu nimeweka tayari...
 
SI

Hiyo ya "mgongo wa viongozi haupindi" ilikuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…