Picha: nani anatamani kusema haya!!

mara nyingi wao ndio huishia kutamka maneno machungu kama hayo, kadri walivyoumizwa. Sie wa kiume tunauguliaga ndani kwa ndani.

uliwahi kumsababishia mtu kutamka maneno hayo...:smile-big:nadhani niliwahi kusababisha ila baadaye nikafuta kauli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…