F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,276 Reaction score 23,569 Jan 23, 2020 #1 Wakati tukishindwa kufaidi vya kwetu Wanamibia wameifaidi tanzanite vilivyo hadi wamebatiza mitaa yao “Tanzanite “. Si mnajua tena mpunga hulimwa shambani lakini huliwa mezani. Wanaofaidika na hayo “mawe” wanaishi hapa.
Wakati tukishindwa kufaidi vya kwetu Wanamibia wameifaidi tanzanite vilivyo hadi wamebatiza mitaa yao “Tanzanite “. Si mnajua tena mpunga hulimwa shambani lakini huliwa mezani. Wanaofaidika na hayo “mawe” wanaishi hapa.
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,325 Reaction score 5,674 Jan 23, 2020 #2 Kwahiyo na watu wa America na wao huwa wanalia lia kama sisi wakiona jinsi ambavyo tumeandika majina ya majimbo yao kwenye vijumba vyetu vya wagen Kama Florida, New York, New Jersey Au ni sisi tu Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo na watu wa America na wao huwa wanalia lia kama sisi wakiona jinsi ambavyo tumeandika majina ya majimbo yao kwenye vijumba vyetu vya wagen Kama Florida, New York, New Jersey Au ni sisi tu Sent using Jamii Forums mobile app
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,007 Reaction score 35,148 Jan 23, 2020 #3 Mji msafi sana Sent using Jamii Forums mobile app
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,602 Reaction score 15,389 Jan 23, 2020 #4 Na sisi tuna mtaa wa SAM NUJOMA isikupe pressure Afrika ni moja
Luftahansa Member Joined Jan 23, 2020 Posts 14 Reaction score 14 Jan 23, 2020 #5 Nilijua nitaona watu wanatafuna Tanzanite , Au wanachezea bao, Au wako nazo kwenye soko lao Shenzy kabisa ase Mtoa mada Unazingua ase
Nilijua nitaona watu wanatafuna Tanzanite , Au wanachezea bao, Au wako nazo kwenye soko lao Shenzy kabisa ase Mtoa mada Unazingua ase
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 13,621 Reaction score 28,766 Jan 23, 2020 #6 Huo ni mtaa ni mzuri kuliko mitaa yote Ileje (Bongo).
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jan 23, 2020 #7 Mr. Fazili Samahani, upo Namibia?
Ngadu01 JF-Expert Member Joined May 4, 2016 Posts 503 Reaction score 797 Jan 23, 2020 #8 Kama hivyo basi na south Africa wanaifaidi sana na nyerere wetu Nyerere Road
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jan 23, 2020 #9 Pia Rehoboth au Walvis Bay ipo Ali Hassan Mwinyi.
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,270 Reaction score 9,414 Jan 23, 2020 #10 Ieleje mbeya?? Maana mbeya ni wash Bufa said: Huo ni mtaa ni mzuri kuliko mitaa yote Ileje (Bongo). Click to expand... Ndogo ile Sent using Jamii Forums mobile app
Ieleje mbeya?? Maana mbeya ni wash Bufa said: Huo ni mtaa ni mzuri kuliko mitaa yote Ileje (Bongo). Click to expand... Ndogo ile Sent using Jamii Forums mobile app
THOMASS SANKARA JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 2,066 Reaction score 4,769 Jan 23, 2020 #11 Mayala B said: Kwahiyo na watu wa America na wao huwa wanalia lia kama sisi wakiona jinsi ambavyo tumeandika majina ya majimbo yao kwenye vijumba vyetu vya wagen Kama Florida, New York, New Jersey Au ni sisi tu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ohio Streeet, City Centre Sent using Jamii Forums mobile app
Mayala B said: Kwahiyo na watu wa America na wao huwa wanalia lia kama sisi wakiona jinsi ambavyo tumeandika majina ya majimbo yao kwenye vijumba vyetu vya wagen Kama Florida, New York, New Jersey Au ni sisi tu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ohio Streeet, City Centre Sent using Jamii Forums mobile app
MLUGURU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 3,002 Reaction score 3,882 Jan 24, 2020 #12 Na Manzese Argentina je? kina messi waje wadai jina lao maana sisi wakazi wa manzese tunalifaidi Sent using Jamii Forums mobile app
Na Manzese Argentina je? kina messi waje wadai jina lao maana sisi wakazi wa manzese tunalifaidi Sent using Jamii Forums mobile app
The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 9,170 Reaction score 20,202 Jan 24, 2020 #13 Fanyeni kazi.