yule kaingia kama chambo na kile kilichotengwa na wao mazuzu wameingia king, ss ni maandamano nchi nzima, na mtang'oka 2 nyie.
Asante dada Regia, kwakweli tunatiwa moyo na juhudu mnazofanya makamanda wa harakati za ukombozi. Peoples..... powerHakuna kulala mpaka kieleweke !
Kama itawezekana dada Regia baada ya vikao vya Bunge vinavyoanza kesho, kabla ya sherehe ya miaka 50, Krismas, na Mwaka mpya ifanyike mikutano kadhaa katika maeneo ambayo hayakufikiwa hasa kusini, nyanda za juu. Tunajua kuwa katika yote mtahitaji kuungwa mkono kifedha. Nadhani mipango ikikamilika na kuwekwa bayana wengi tutakuwa tayari kuchangia ili yote yafanikiwe. Tuwaombee yote mema.Huenda kesho baadhi ya Wabunge wakaenda kuwaunga mkono.Taarifa itatolewa kesho.
Kulikuwa kuna msiba?
hii imenipa moyo sana kuwa ushindi umekarbia. lakini gamba faizafoxy sijui haon hata aibu?
Yap! Tulikuwa tunaomboleza kifo cha bibi yetu ccm
Ushauri wa bure dada, next time jaribuni kutumia kamera/picture capturing devices zenye ubora. Hizi picha ubora wake haureflect ubora wa CHADEMA kama taasisi kwa sasa.
Otherwise kazi nzuri mnafanya. Nilikuwepo leo pale viwanja vya Barafu.
Aluta continua.
Kulikuwa kuna msiba?
ushindi wa igunga juzi mmeusahau? Ushindi wa kura za taifa hata miaka 2 haijaisha mmeusahau? Mtabaki hivyo hivyo kudanganya wasio na kazi.
Hata muandamane kutwa kucha, Tanzania hii ng'o, hamtufikii idadi yetu hata mfanye nini. Jaribuni.
Kulikuwa kuna msiba?
Hata muandamane kutwa kucha, Tanzania hii ng'o, hamtufikii idadi yetu hata mfanye nini. Jaribuni.
Nendeni bungeni nyie...kuandamana siyo suluhisho la matatizo wananchi waliyo nayo.Huenda kesho baadhi ya Wabunge wakaenda kuwaunga mkono.Taarifa itatolewa kesho.
Ushauri wa bure dada, next time jaribuni kutumia kamera/picture capturing devices zenye ubora. Hizi picha ubora wake haureflect ubora wa CHADEMA kama taasisi kwa sasa.
Otherwise kazi nzuri mnafanya. Nilikuwepo leo pale viwanja vya Barafu.
Ushauri mwingine, naomba sana CHADEMA kama mnataka kuendelea kuwa chama makini chenye wanachama makini, hacheni tabia ya kupokea wanachama katika mikutano ya siasa kama ilivyokua leo. Huu mtindo si mzuri na unaweza kuhatarisha uimara na mustakabali wa chama, kwani mnaweza kupokea na makapi na mashudu yasiyofahamu itikadi na misingi ya chama (hii tabia imeiumiza sana CCM). Jengeni utamaduni na utaratibu wa kuwapa wanachama watu ambao wanafahamu na kuamini katika itikadi na misingi ya chama. Ni heri chama kiwe na wanachama 200 wenye kufahamu na kuishi itikadi na misingi ya chama, kuliko kuwa na wanachama milioni 2 wasioishi na kuelewa misingi ya chama.
Asante.
Aluta continua.