kumbe ni maji ya mfereji watu kwa kubwisha mambo hawajamboNimekuja speed kuyaona mafuriko kumbe.....
Hivi si ni tume hii hii ambayo EL atakwenda kuchukua fomu au? sasa siku hiyo ndo mtajua maana ya mafuriko ni nini ? sio haya majitu yenu mnayasomba kwa mabasi kwenda Lumumba siku hiyo mtakaa kitako kabisa ...subirini mbona mtafurahi sana
Magufuli hana mvuto kabisa....
Magufuli ni Rais tayari...pili Rais mchapakazi na muadilifu hana mvuto kwa vyama-saccos vya wapiga dili na madalali wa kisiasa.
​Dr.Mohammed Bilal nae sijamuona hapapinda simuoni hapa kwenye picha
Duuh siamini kama magamba hayachangii uzi wao wako busy na Lowasa.