Picha na Maelezo: M4C- Pamoja Daima Ndani ya Arusha leo

Wewe ni kibaraka pia hujitambui, Yaani hapo ndiyo akili yako imefkia kuwaza. Mbeya,Kanda ya kati, Ziwa,Kusuni huko songea hujaona kote? Acha upimbi wewe,njaa mbaya.
 
nimeelewa pale tu panapohusu KATIBU kuandika barua ya kujiuzuru !
 
Mkutano unaanza saa saba we saa hizi unataka picha. Soma maelezo vizuri

Kumjibu sixgate unapoteza wakati, maana anakuja hapa aksidentari zaidi ya kukurupuka
 
Tupo pamoja kamanda,
Tutakusaidia kwa picture za uhakika toka huku Ngusero Arusha.
 
" TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA"

Kwa hisani ya MANI
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi Polisi ndio wanapiga picha kwenye mikutano ya CHADEMA.

Pole sana brother kwa msiba.

Vp! mmeshamuifadhi mwezenu aliyekuwa Mbunge wa Chalinze Mh. Bwamdogo?

Maana kuna post juzi ilikukot kuwa uu mmoja wa wakusanya rambirambi?
 
Sio vibaya ukiwa na ndoto kama hizo kama umefanya utafiti wenzio nao wamefanya tafiti za kutosha mpaka ndani vijijini wakafahamu wananchi wanaionaje CCM safari hii hata washushe malaika na vifaru walete barabarani CCM hawatapita kupata uraisi 2015 kwa CCM jinsi walivyo filisi nchi wanavyowagawa watanzania kwa udini ukanda ukabila ni sana na ngamia kupita kwenye tundu la sindano,habari zipo jamvini hapa ni kutoka pande zote za nchi ila wewe umeona ya Arusha Kilimanjaro na Manyara you must be in a delusional state

Kiongozi hapo ndipo mnaponishangaza wafuasi wa CHADEMA. Ujue haya mambo hayataki msuli. I mean let me ask you this; how am I being delusional? Mimi nimetoa maoni yangu kutokana na hali na muelekeo niionavyo mimi, I stand corrected lakini I am far from being delusional. Wewe mwenzi wangu una mkataba na Mungu kuwa na uhakika kuwa CCM haitashinda uchaguzi mwaka 2015? Na suala la kuungwa mkono CHADEMA kaskazini nalo lina ubishi? nikisema CUF inaungwa mkono Pemba utabisha pia? Ni mambo yaliyo wazi mkuu wangu. Ushauri wangu unabaki pale pale; CHADEMA futeni dhana ya ukabila/udini/ukanda ili mpokelewe zaidi na watanzania walio wengi. Bila kufanya hivyo itawawia vigumu kuwashawishi waerevu wawapigie kura. Nina imani mna uchungu kwa nchi hii kama wafuasi na wanachama wa CCM walivyo na uchungu na nchi hii.

Binafsi, siamini kuwa CHADEMA mmeiva na kukomaa kisiasa kuchukua dola. You lack a concerted effort and unified front to run this beautiful country, let alone the people to do so. I also hold strong reservations about your rhetoric on podiums for you seem to spew a lot of retribution plans if you take over. Kingine ni hao wafuasi wenu wafanya fujo, wanaharibu sura ya chama chenu.Muwe wepesi kukubali kushauriwa ndugu zangu. Haya ni maoni yangu binafsi. Hii nchi ni yetu sote.
 
Yaan amekurupuka kama kawaida yao bila hata kusoma content ya taarifa akaamua kuchangia tu hoja....sasa mkutano unaanza saa saba picha ziwekwe asubuhi duh

Wameshachanganyikiwa, Sammy cool anakula bata Uswis na mizigo inapeta kwenye mav8 kama kawa, kinana hoi Nape chalii.
 
wamuondoe kinana wamuweke lowasa awe katibu mkuu wa magamba ili wasiathiri biashara zao za unga,ujangili bila kusahau ufisadi wa kila aina! chezea m4c pamoja daima weye!!!????
 
Kiongozi hapo ndipo mnaponishangaza wafuasi wa CHADEMA. Ujue haya mambo hayataki msuli. I mean let me ask you this; how am I being delusional? Mimi nimetoa maoni yangu kutokana na hali na muelekeo niionavyo mimi, I stand corrected lakini I am far from being delusional. Wewe mwenzi wangu una mkataba na Mungu kuwa na uhakika kuwa CCM haitashinda uchaguzi mwaka 2015? Na suala la kuungwa mkono CHADEMA kaskazini nalo lina ubishi? nikisema CUF inaungwa mkono Pemba utabisha pia? Ni mambo yaliyo wazi mkuu wangu. Ushauri wangu unabaki pale pale; CHADEMA futeni dhana ya ukabila/udini/ukanda ili mpokelewe zaidi na watanzania walio wengi. Bila kufanya hivyo itawawia vigumu kuwashawishi waerevu wawapigie kura. Nina imani mna uchungu kwa nchi hii kama wafuasi na wanachama wa CCM walivyo na uchungu na nchi hii.

Binafsi, siamini kuwa CHADEMA mmeiva na kukomaa kisiasa kuchukua dola. You lack a concerted effort and unified front to run this beautiful country, let alone the people to do so. I also hold strong reservations about your rhetoric on podiums for you seem to spew a lot of retribution plans if you take over. Kingine ni hao wafuasi wenu wafanya fujo, wanaharibu sura ya chama chenu.Muwe wepesi kukubali kushauriwa ndugu zangu. Haya ni maoni yangu binafsi. Hii nchi ni yetu sote.
Mimi nilifikiri unatumia kichwa kufikiri kumbe !!!!! eleza au weka wazi huo udini ambao wewe unauzungumzia ukabila na ukanda,ambao wewe unauona ,usiwe mnafiki,ujue hayo mambo mnavyoyazusha ambayo si ya kweli ndiyo yanayoipaisha Chadema,wenye akili kila wakiangalia hicho mnachohubiri wanawaona nyie ndiyo wenye matatizo either kwa njaa zenu,au mapenzi.Ukinieleza vizuri ama niseme ukifafanua vizuri juu ya hizo tuhuma za udini,ukabila na ukanda nitakuwa mmoja wa wafuasi wako.
 
mi napita tu
 
Attachments

  • 1531657_1455401124688377_2117031800_a.jpg
    1531657_1455401124688377_2117031800_a.jpg
    9.3 KB · Views: 474
Raha ya Chakula uandae vizuri ili wanaokishiriki waenjoy ..Sasa habari bila picha tuseme je?
 
Back
Top Bottom