Picha na Maelezo: M4C- Pamoja Daima Ndani ya Arusha leo

Picha na Maelezo: M4C- Pamoja Daima Ndani ya Arusha leo

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Ile oparesheni ya Movement for Change Pamoja Daima iliyowatia viwewe ndani ya CCM mppka katibu mkuu anaandika baarua ya kujiuzuru leo inaingia mkoa wa Arusha ni ile team iliyo chini ya Tundu Lisu na John Heche wakishirikiana na wabunge, viongozi mbalimbali wa kanda hii.. Tutawaletea live coverage Kuanzia mkutano wa saa Saba utakaofanyika Ngarenanyuki jimbo la Arumeru Mashariki kwa dogo janaja na baadae mkutano wa mwisho ni Ngusero- Sombetini (Arusha mjini) mkutano utakao anza saa tisa....
SAM_0401.JPGSAM_0402.JPGSAM_0403.JPGSAM_0406.JPG
 
ngare napo pachangamke kamanda unafanyikia sokoni au uwanja wa ssmu tujue
 
wazipate wapi utasikia wakileta porojo ati zimepigwa na police haya c ya kuyaamini tena ni mazushi

Hivi kumbe kuishabikia na kuitetea ccm ni kweli ni lazima ujivike uzoba , kwa dalili hizi ww hata kijani kwenye huu msimu wa mvua huioni kwenye hizo picha.
 
Hii ni zaidi ya kutwanga kote kote, Hii ni zaid ya Kimbunga hakibakishi hata tawi la mti,
Viongozi wa Ccm wamfukuze pia Kinana waweke tena Fisadi Lowasa kama Katibu ili tumalize kazi,Mzee Mkama kakimbia kabisa hana hamu na hawa Maccm
 
Mkutano unaanza saa saba we saa hizi unataka picha. Soma maelezo vizuri

Yaan amekurupuka kama kawaida yao bila hata kusoma content ya taarifa akaamua kuchangia tu hoja....sasa mkutano unaanza saa saba picha ziwekwe asubuhi duh
 
Makamanda peopless? Eti katibu mkuu wa ccm ameandika barua yakujiuzuli hapo sijawapata?
 
CHADEMA kwenye hili la kuhamasisha ngome zenu nawasifu sana. Mmejitahidi sana kuelimisha wananchi juu ya elimu ya demokrasia hapa nchini. Ila bado chama chenu hakina sura ya kitaifa. Bado "dhana" ya ukabila, udini na ukanda inawatafuna miongoni mwa wa-Tanzania walio wengi. Mnapata makundi kwa kuwa watu wamechoshwa na baadhi ya mienendo ya nchi. Lakini haina maana watawapigia kura.

CCM pamoja na matatizo yake mengi, ni chama kilichojengwa kwenye msingi na misimamo jumuisho ya kitaifa. Haishangazi kuona umati wa watu wakiwafuata kwenye mikutano ya Chadema - Kilimanjaro, Arusha, Manyara. Huko mna wafuasi wengi wanaowafuata kwa sababu za ukabila na ukanda (hili halina ubishi). Ukienda huko kama wewe si mfuasi wa CHADEMA na sio baunsa unaweza kupigwa. It's like a gang turf war on the streets of Arusha, Babati, Moshi etc. Other than that you've only managed to gain pockets of support across this vast republic. Binafsi ninaamini ya kuwa CCM ikijipanga vizuri na kuweka mgombea u-Rais makini 2015, Chadema hamtaweza kupumua kwani support yenu ramani yake inaeleweka. Narudia, jaribuni kuondoa dhana ya ukabila/udini/ukanda inayowaharibia sura yenu kwani kuna mambo mazuri tu mnayoyapigani but as long as your platform is perceptively tainted, you are doomed.
 
Makanda,hivi kamanda mkuu wa majeshi ya chadema Freeman mbowe yumo kwenye hii 0PD au hayumo?Kama hayumo yuko wapi?
 
Mkutano unaanza saa saba we saa hizi unataka picha. Soma maelezo vizuri

Kina Nape wako wengi sana ndani ya familia ya panya, wasamehe maana miti yote sasa inateleza huko Lumumba
 
CHADEMA kwenye hili la kuhamasisha ngome zenu nawasifu sana. Mmejitahidi sana kuelimisha wananchi juu ya elimu ya demokrasia hapa nchini. Ila bado chama chenu hakina sura ya kitaifa. Bado "dhana" ya ukabila, udini na ukanda inawatafuna miongoni mwa wa-Tanzania walio wengi. Mnapata makundi kwa kuwa watu wamechoshwa na baadhi ya mienendo ya nchi. Lakini haina maana watawapigia kura.

CCM pamoja na matatizo yake mengi, ni chama kilichojengwa kwenye msingi na misimamo jumuisho ya kitaifa. Haishangazi kuona umati wa watu wakiwafuata kwenye mikutano ya Chadema - Kilimanjaro, Arusha, Manyara. Huko mna wafuasi wengi wanaowafuata kwa sababu za ukabila na ukanda (hili halina ubishi). Ukienda huko kama wewe si mfuasi wa CHADEMA na sio baunsa unaweza kupigwa. It's like a gang turf war on the streets of Arusha, Babati, Moshi etc. Other than that you've only managed to gain pockets of support across this vast republic. Binafsi ninaamini ya kuwa CCM ikijipanga vizuri na kuweka mgombea u-Rais makini 2015, Chadema hamtaweza kupumua kwani support yenu ramani yake inaeleweka. Narudia, jaribuni kuondoa dhana ya ukabila/udini/ukanda inayowaharibia sura yenu kwani kuna mambo mazuri tu mnayoyapigani but as long as your platform is perceptively tainted, you are doomed.
Sio vibaya ukiwa na ndoto kama hizo kama umefanya utafiti wenzio nao wamefanya tafiti za kutosha mpaka ndani vijijini wakafahamu wananchi wanaionaje CCM safari hii hata washushe malaika na vifaru walete barabarani CCM hawatapita kupata uraisi 2015 kwa CCM jinsi walivyo filisi nchi wanavyowagawa watanzania kwa udini ukanda ukabila ni sana na ngamia kupita kwenye tundu la sindano,habari zipo jamvini hapa ni kutoka pande zote za nchi ila wewe umeona ya Arusha Kilimanjaro na Manyara you must be in a delusional state
 
Kalia ku edit kama mfanyavyo ccm bila maroli na wali ampati watu kwenye mikutano yenu wekeni na Zekomedy kabisa M4C pamoja daima ndio habari ya mjini
 
Back
Top Bottom