wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,136
- 27,372
Hii habari kuna ndugu jamaa walioko huko mtwara wamerushia kwenye group la watsap inasemekana huyu mwanamke ni miongoni mwa waliokimbizwa huko msumbiji kwa yeyote mwenye kujua ndugu zake awasiliane na hizo namba zilozowekwa hapo,
Mimi nimewasilisha tuu
Nimeipata kwenye group watsap
Mimi nimewasilisha tuu
Nimeipata kwenye group watsap