PICHA: Mwanafunzi wa Kidato cha sita amchora Raisi Magufuli akipiga push-ups!

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
Waziri Professor Ndalichako akionesha paper iliyochorwa picha ya Rais Magufuli akipiga push-ups.
IMG-20160627-WA0004.jpg
 
Hii ni edited... Picha original sio ha Ndalichako na necta fm4 waliochora mazombi?
 
Huo ni uongo mtihani wa taifa una booklet sasa hiyo mbona kama ni edited na mtu kufikia ad form six cdhan kama anaakili za kufanya kitendo hicho...huyo mama ni jipu
 
Hiyo picha ni ya zamani, imekuwepo tangu wakati wa matokeo ya form four. It has nothing to do with form six
 
Back
Top Bottom