Picha: Mwamunyange akiteta na Rais Magufuli

Picha: Mwamunyange akiteta na Rais Magufuli

Wewe unayejua ebu nipe siku ambayo Obama au Waziri Mkuu wa uingereza ulimwona amevaa kombati. diyo Hivyo tu huko nyuma Nyerere, Mkapa, Mwinyi na hata Kikwete sikuwaona wameyavaa makombati wakati wa uongozi wao!
wewe getstat aliwahi kuvaa kombat wakati alipotembelea vikosi wakati wa Vita vya kagera niliona picha Sasa tatizo liko wapi Kwa CinC kuvaa?
 
Commander in Chief unajua tafsiri yake ukujua huwezi kuhoji Eti kwann Mh Rais alivaa kombat na Kwan Una wasiwasi gani? Unaitwa mkuranga ukalime mihogo
 
Kuna hiyo ya Kenyatta amevaa cheo cha commander- in -chief, lakini mimi nadhani ni kujikweza tu kwani vyeo vya kijeshi hujiviki bila kupitia mafunzo yanayostahili. Magufuli yuko sawa kabisa. Bado anatambulika ni commander-in-chief lbila hivyo vyeo. Kuna tofauti kati ya MILITARY APPOINTMENTS na MILITARY RANKS.
eg: Military appointments:



    • Commander in Chief of Defense Forces
    • Deputy Commander in Chief of Defense Forces
    • Commander in Chief (Army)
    • Adjutant General
    • Quartermaster General
    • Chiefs Bureau of Special Operation
    • Chief of Air Defense Forces

      eg: Military ranks
      1. Genaral
      2. Lieutenant Genaral
      3. Major Geraral​
mkkuu ni General sio Genaral
 
Kwa mawazo yangu, I could be wrong, kayavaa kuonyesha kwamba yeye ni sehemu yao. After all, ameenda kuwapa kazi watu ambao wengi wao, kwa maisha yao yote hawajawahi kufanya kazi. Wao mazoezi tu. Na hiki kitu nilikuwa najiuliza kila siku, katika nchi yenye amani role ya mwanajeshi katika jamii ni ipi?
 
Kuna hiyo ya Kenyatta amevaa cheo cha commander- in -chief, lakini mimi nadhani ni kujikweza tu kwani vyeo vya kijeshi hujiviki bila kupitia mafunzo yanayostahili. Magufuli yuko sawa kabisa. Bado anatambulika ni commander-in-chief lbila hivyo vyeo. Kuna tofauti kati ya MILITARY APPOINTMENTS na MILITARY RANKS.
eg: Military appointments:


    • Commander in Chief of Defense Forces
    • Deputy Commander in Chief of Defense Forces
    • Commander in Chief (Army)
    • Adjutant General
    • Quartermaster General
    • Chiefs Bureau of Special Operation
    • Chief of Air Defense Forces

      eg: Military ranks
      1. Genaral
      2. Lieutenant Genaral
      3. Major Geraral​


Hivi Vyeo Vyako Mkuu Ni Vya JESHI LA KILWA KIVINJE au?
 
Wr9CpI

Bangi Na Mirungi Ikiwa Imestawi Kisawasawa.
 
Back
Top Bottom