PICHA: Msiba wa mke wa Dk Mwakyembe

PICHA: Msiba wa mke wa Dk Mwakyembe

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
IMG-20170718-WA0190.jpg
IMG-20170718-WA0189.jpg
IMG-20170718-WA0188.jpg
IMG-20170718-WA0187.jpg
IMG-20170718-WA0186.jpg
 
Mwakyembe jipe Moyo mkuu, huna namna zaidi ya kukubaliana na matokeo, mwanadamu anauwezo wa kugeuza mambo lkn ana kikomo.
Katika hili huna namna, ni suala la muda lakini linawahusu wote wenye mwili...pole sana
 
Pole Mh. H. Mwakyembe na familia yote kwa ujumla.
Marehemu amemaliza vita yake hapa duniani...hakika anaenda kupumzika katika ufalme wa Mungu mbinguni.
Pumzika kwa Amani mama Mwakyembe. Utakumbukwa Daima kwa unyenyekevu wako na kumcha Mungu.
 
Inahuzunisha,,Maisha ni safari yenye kikomo,,Tupendane.
 
Inauma kufiwa na Mke aisee,,mtu uliemzoea, mnacheka, mnataniana sana,, kumpata mwingine hadi mzoeani huwa inachukua muda sana,,, R.I.P
Ni ngumu sana mkuu. Kuna kaka yangu alifiwa na mke alipokuwa anajifungua miaka ya tisini,mpaka leo hii hakuwahi kuoa na huyo mtoto wake wa mwisho ni binti mkubwa sasa alimaliza UDSM na kuolewa. Amekuwa na upweke wa ajabu baada ya watoto wote kuondoka nyumbani. Maisha ni mtihani....tushukuru kwa kila Jambo .
 
karibu katika chama cha walofiwa na wake new comer utazoea yanapita yatakwisha tu huna budi huna jinsi
 
Back
Top Bottom