Ndio haya mavitu tunayaona kwenye movies miaka n miaka, sion yatazagaa angani ku spy
Ndege hiyo iliyogharimu dola milioni 25 kuijenga inaweza kusimama eneo moja hewani kwa wiki tatu na na pia inaweza kuendelea kuruka hata baada ya kutobolewa mashimo kwa njia ya risasi.
Naam hata ikishatobolewa(hata ukiona manyoya) no shida
Hizi aina za ndege ni balaa sasa mbona naona ile fimbo yenye jicho moja ikiingia makalioni
Ndege hiyo inayojulikana kama (The Airlander 10) ina urefu wa mita 92 ikiwa ni mita 18 zaidi ya urefu wa ndege ya kawaida.
..........Kwa muonekano wake inafananan nan nini aiseee.
Aiseee hili si kalio na kende chini,hawa jamaa wahuni asieee
Ndege hiyo inayojulikana kama (The Airlander 10) ina urefu wa mita 92 ikiwa ni mita 18 zaidi ya urefu wa ndege ya kawaida.
..........Kwa muonekano wake inafananan nan nini aiseee.
KamoooooniHii ndege au kalio la mtu??
Hapana chezeaa
Ndege hiyo inayojulikana kama (The Airlander 10) ina urefu wa mita 92 ikiwa ni mita 18 zaidi ya urefu wa ndege ya kawaida.
..........Kwa muonekano wake inafananan nan nini aiseee.
Mbona kama matak
Inauwezo wa kusimama kwa wiki tatu.....(ikiwa hewani)
Yupo OmanMzee wa msoga ameiona?, akiiona lazima apande kwi kwi kwi kwi kwi
Hayo mattako Magufuli hanunui hayoInatengenezwa na kampuni gani?..ATCL itawafaa sana...
NASHUKURU KWA KUNIJUZAMkuu hiyo ni airship. Zilikuwepo German enzi na enzi. Yalikuwa patented German mwaka 1895. Zilikuwa zinapaa na very luxurious lakini Wamerikani waliyafanyia hujuma, limoja very luxurious likalipuka angani.
ona View attachment 331553 View attachment 331553
Sasa naona wanatengeneza tena. Yanatumia Helium kusafiri.