Nani kasema kuna tatizo?sasa tatizo nn
Halakati zilianza kitambo...!!!
umeona eh.sasa vijan wa leo wanataka kujiunga na Chama jumatatu na ijumaa wagombee ubunge!
Halakati zilianza kitambo...!!!
sasa tatizo nn
Choka mbaya...
Tatizo liko wapo? Mbona Slaa kajiunga chadema jumatatu na ijumaa amekuwa mgombea urais?
Choka mbaya...
Nashukulu kwa kunisahihisha naikubali taarifa yako.Harakati **
umeona eh.sasa vijan wa leo wanataka kujiunga na Chama jumatatu na ijumaa wagombee ubunge!