PICHA: Mkuu wa wilaya ya Nachingwea akikagua mradi wa maji wa kijiji

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
843
176
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mh. Rukia Muwango akikagua mradi wa maji kijiji cha Mbwilinji. Hadi miaka mitano iishe hakyanani tutaona maajabu!!
IMG-20161013-WA0006.jpg
 
Awamu ya comedians wengine wanakwea miti mara wengine wanabebana mgongoni...mara mwingine ananyatia usiku hospitalini mwananyamala na mwandishi wake binafsi anampiga video kupata kiki.
Bora Polepole laana yake ina mla mdodo hadi atoboe kwenye ardhi hii.
 
Hapo chini yake kwenye hiyo ngazi anaruhusiwa mwanaume asimame kusubiri kama ikitokea bahati mbaya kateleza amdake? Kuuliza siyo ujinga.
 
Back
Top Bottom