PICHA: Mkutano wa UKAWA Mwanza leo


Hakikuwa kipindi cha kuandaa majukwaa, majukwaa yalishafungwa, wafunge jukwaa saa tisa??
 

Hii picha Mkuu ndo uliyopigia kwenye mapaja ya mamako? AIBUUUUUU!!!
 
Nilimjibu yule aliyesema nilipiga saa Sita.

Mkuu mbona mbishi sana, kwa hiyo hata nyomi iliyoonyeshwa na star Tv nayo ni uongo!? kubali yaishe anayetaka picha zaidi anitumie namba yake nimtumie kwa wasapu ninazo kibaao.
 
Mkuu mbona mbishi sana, kwa hiyo hata nyomi iliyoonyeshwa na star Tv nayo ni uongo!? kubali yaishe anayetaka picha zaidi anitumie namba yake nimtumie kwa wasapu ninazo kibaao.

Hujaelewa uzi wangu?? Hata mimi si nimesema wamepiga nyomi!!.. Na nikaweka picha ya nyomi!!!... Ha ha ha ha
 
Mimi nidanganye ili iweje??? Leo hadi Band ilikuwepo kwenye uwanja wa mkutano.... Na ndiyo iliyonivuta baada ya kusikia muziki. Nilipoona bendera za Cuf na Chadema nikastaajabu ile nyomi.
Muda wa Picha nilipoipiga huo
Dume zima unakuwa liongo hata aibu huna,tumejionea wenyewe Star TV jana usiku.Endeleeni kushupaa tu.
 


hii ni baada ya picha kwanza ambayo ilikuwa ni maandalizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…