PICHA: Mkutano wa UKAWA Mwanza leo

Picha zimegoma kudanilodi. Nikiziweka walioweka nii picha watajinyonga.
 
Mnatuletea picha za uchaguzi wa mwaka 2010. Acheni uongo.

Kule lumumba kalenda zenu bado zinasema leo ni mwaka 2010?basi kama ni hivyo lumumba wote mtakuwa tayari mmeshachanganyikiwa na mnasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa UKAWA
 
Kule lumumba kalenda zenu bado zinasema leo ni mwaka 2010?basi kama ni hivyo lumumba wote mtakuwa tayari mmeshachanganyikiwa na mnasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa UKAWA

Ukawa ni wanafiki na waongo
 
Ukawa ni wanafiki na waongo

Wanafiki ni ccm wanaojinadi wanamuenzi mwalimu nyerere,huku wakitenda yale mambo aliyokuwa anayapinga,na kwa sasa mmeigeuza nyerere day kuwa siku ya mapumziko na si kuenzi yale mema aliyokuwa akiyatenda
 
mkutano wa Ukawa mwanza ulidoda
 
Balozi seif idd anapiga campaign ya katiba ikubaliwe mikowani na Maalim seif nae mkuu wa ukawa yupo mbioni Dah kazi ipi
 
Mh hii nyomi balaaa...wacha nijipitie tuu
 
Huyu jamaa kapiga picha labda saa tano wakati dmda wa mkutano ulikuwa kuanzia saa nane. Asidanganye umma mimi mwenyewe nilikuwa kiwanjani watu walikuwa wengi sana.
 
mkutano wa Ukawa mwanza ulidoda

Wametoa picha ukasema ni ya 2010 na kuwa mkutano ulidoda, basi weka hizo picha zinazoonesha udodaji, otherwise no research no right to speak.
 
Huwezi kushindana na mabadiliko

Mkuu ubarikiwe sana hii Misukule kinafanya kazj ya kujifariji tu hapa haya we Kimburukutu mdanganyifu kuja hapa utwambie kwanini utuwekee picha kabla kiongozi hajafika kuhutubia??

Mods kama mko fair tafadhari pandisheni hii picha hapo juu kwa kwa huyu mnafki mleta mada.

cc Invisible Moderator

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:

jioni mwanza leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…