PICHA: Mkutano wa UKAWA Mwanza leo

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,325
Leo nilikuwa Mwanza, nikakutana na mkutano wa Ukawa..... Kwa waliokuwepo waliniambia utahutubiwa na Maalim Seif, ni mkutano wa Ukawa Japokuwa niliona bendera za vyama viwili tu Cuf na Chadema. Nccr wanijiweka nyuma au ni wazembe wenyewe ( nilijiuliza. Cha kusisimua Zaidi ni idadi ya watu. Tazama Picha.
 

Attachments

  • 1410196033644.jpg
    85.8 KB · Views: 5,632
Watu wa mwanza wanaelewa sasa.
 

eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee jamanii chadema mwanza kwa wenje na kiwia ndo inakufaa haraka hivyoo mhh
 
hakuna chopa hapo hadi helkopta iwepo ndo wanajaa
 
Buku 7 bhanaaa!!!! Wanajitekenya na kujichekesha wenyewe!!!! SHAME!!!!
 
Mkutano haukutangazwa kisawa sawa, tulikuwa hatuna habari.
 
NCCR wasijiweke nyuma nyuma kwakweli
 
Ni mkutano mwingine au ni ule ulioneshwa na Star TV ?
 
Nyomi siku hizi ina tafsiri nyingine au ni macho yangu
 
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee jamanii chadema mwanza kwa wenje na kiwia ndo inakufaa haraka hivyoo mhh

We endelea kuchezea tu sharubu za simba aliyelala kwa kudhani unamchezea paka!
 

Hii ilikuwa ni saa saba mchana,je ulipita na jioni?
 
Msijifariji,mwanza ni chadema damdam,hizo picha huyo kichaa kazipiga saa saba mchana,angeenda jioni kujionea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…