kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,325
Leo nilikuwa Mwanza, nikakutana na mkutano wa Ukawa..... Kwa waliokuwepo waliniambia utahutubiwa na Maalim Seif, ni mkutano wa Ukawa Japokuwa niliona bendera za vyama viwili tu Cuf na Chadema. Nccr wanijiweka nyuma au ni wazembe wenyewe ( nilijiuliza. Cha kusisimua Zaidi ni idadi ya watu. Tazama Picha.