Picha mkutano wa Mh Mbowe-Mwanza

Kafunika mbaya..! Dalili nzuri huonekana alfajiri.
 
Yule mwenyekiti wa matawi ya chadema mwanza ameiona hii picha
 
Kamanda wa anga mkutano wa Mwanza leo

mkuu unafikiri kina tomaso sixgates,taswira et al watang"a huku?wanajua mziki wa cdm inapofikia mkutano shazi ndo mpango mzima......mfuniko wa chuma wakati wao mpaka mafuso yafanye mambo wamejaribu kuhujumu mikutano ya kigoma wakafulia,wamejaribu mwanza wameaibika na diwani wao wa kichina mataka.....wao zao ni press conference serena!chezea chadema wewe kama man city vile
 
Hongera Chadema.
yule mwekiti wa matawi 189. aje asungumzie hii hali anaionaje??
 
Mwenyekiti wa matawi ya CHADEMA nchi nzima ndo Hutu,wa l e buku Saba wanapaswa kujua hata Mwandiga tutapiga show
 
napongeza juhudi za CDM kwa ukombozi wa wananchi
 
Hivi yale matamko ya kupinga maamuzi ya kamati kuu yaliishia wapi? Ama yanaandaliwa kuletwa baada ya maamuzi yatakayojadili majibu ya mashtaka ya akina MM?
 
Jamaa wa matamko na vibango vyao hawakuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…