Amani cyprian mmasy
Senior Member
- Jul 30, 2015
- 197
- 11
Hapo vunjoo ni ukawa tu rest in peace Ccm Hapa lowassa ukawa tu
usidanganye wewe,mbatia kazindua jana hapo uwanja wa Marangu TTC na watu walikuwa kibaaaaaao sana!huyo ni Innocent wenu amedodaWatu wanamdharau sana Innocent ,juzi kaja marangu mtoni watu hata hawamchangamkii wanamuona kama lofa flan kaamua kuishia zake huko Kilema
Angalia kila picha kwa macho yako mawili.
hapo ndipo ilipofikia ccm .Kwani ni mkutano wa waendesha bodaboda?
Naona mapikipiki pamoja na Mabendera, kulikuwa na shughuri gani? Au ni mgomo wa waendesha bodaboda?
BACK TANGANYIKA
Kwani kakwambia ni leo hii ndo ufunguzi umefanyika?! tulia dawa iingie.uongo huo mwwnzio akiwa kwenye kampeni we huruhusiwi kupiga kampen Leo huko alikuepo mbatia