Keil, Jihabarishe hapa. gonga links
BBC NEWS | Africa | Joy as Zanzibar flies new flag
Flag of Zanzibar - Wikipedia, the free encyclopedia
Nchi ndani ya nchi (China na Hong Kong)
Mambo matatu makubwa sana ktk picha hizi..
1. Wananchi wanaonekana wanyonge sana na wameshindwa hata kubeba bendera ya CUF, picha zote nimeona mtu mmoja tu..
2. Bendera ya Taifa hakuna wakati tumeziona za chama na Zanzibar - Hatari kubwa pengine hata uikikaji wa sheria ya Kitaifa - sina hakika..
3. Seif Mahamd kama kiongozi anaongea mkono mfuko ni utovu mkubwa wa adabu kwa kiongozi kuonyesha dharau hizi. Katika mafundisho ya uongozi wapi mikono yako unatakiwa usiiweke hata siku moja ni mifukoni wakati unahutubia wananchi, yeye kafanya sijui kwa kutoelewa ama makusudi.
Nasikia kama kawaida yao walikusanya watu kwa malori.Wengi wa hao watu hapo wametoka Temeke,kisarawe na Rufiji.
maswali mengine bana ni uharo mtupu. Sasa kama umeoma bendera ya taifa la zenj na yule makamo wa zenj wht du u espect acha papara. Sioni msingi wa swali lako
Mkuu haya ni maswala makubwa sana ktk kutafiti nguvu ya chama na viongozi wake. Yes, kutopandisha bendera ya taifa ni dharau ikiwa umepandisha ya serikali ya Zanzibar, kiongozi kuhutubia wananchi mkono mfukoni ni dharau (tofautisha na kuongea na mtu, watu ama ktk mazungumzo vijiweni)1. Wananchi kuwa wanyonge ni Tatizo la CUF sijakuolewa??
2. Bendara ya Taifa ni masharti kwenye mkutano wa vyama vya siasa??
3. Kuweka mkono mfukoni! duh mkuu acha unaazi wewe unaangaliaga magwanda wanapohutubia kweli..nyani haoni kundule
Wasiwasi wangu ni hayo majeshi ya vyama, yaani Green Guards na Blue Guards. Kama yasipothibitiwa sasa hivi, tujiandae kwa umwagaji damu siku moja
Mkuu haya ni maswala makubwa sana ktk kutafiti nguvu ya chama na viongozi wake. Yes, kutopandisha bendera ya taifa ni dharau ikiwa umepandisha ya serikali ya Zanzibar, kiongozi kuhutubia wananchi mkono mfukoni ni dharau (tofautisha na kuongea na mtu, watu ama ktk mazungumzo vijiweni)
Yote haya yanachangia sana ktk kupima Uzalendo. Wewe nambie kwa nini bendera ya Zanzibar ipeperushwe ktk mkutano wa hadhara na isiwekwe kabisa ya Jamhuri?.
Mkuu wangu hutazama yote iwe CCM, CUF au Chadema. naijuia sana mikutano ya CUF, leo wameonyesha tofauti kubwa sana toka viongozi wao hadi walivyojipanga. Mtawadanganya waliofika lakini kundi kubwa hapa ni la wavunja Muungano. List kubwa sikuiona meza kubwa.Huo utafiti wako unaangalia udhaifu wa wawahudhuraji kwenye mkutano wa CUF au vyama vyote au?? hueleweki
Bendara ya Taifa ni kanuni ya lazima?
Je hiyo sceptism imekuja ulipoona mkutano wa CUF au hata chadema unafanya hivyo kote waendako??
Unajua watu kama nyie tayari mna prejeduce kuhusu CUF kwa hiyo hamko objectives; mko kishabiki zaidi
Ni rasmi sasa. Nchi imevaa bukta;
1. Chama hiki ni dhahiri kina muelekeo wa kidini lakini dola inakichekelea
Mkuu wangu hutazama yote iwe CCM, CUF au Chadema. naijuia sana mikutano ya CUF, leo wameonyesha tofauti kubwa sana toka viongozi wao hadi walivyojipanga. Mtawadanganya waliofika lakini kundi kubwa hapa ni la wavunja Muungano..List kubwa sikuiona meza kubwa..Lipumba yupo mjini imekuwaje hakuhudhuria?..
Biola shaka tunautaka Muungano na wewe ndiye unatakiwa uwe mwakilishi wa Chadema Zanzibar maanake mna sheria zenu lazima uwe Mzanzibar - Mkandara atakubalika vipi? Hapa penyewe nilipo naitwa chogo na wamakonde leo nikagombee Zanzibar! Hunipendi kweli..haaa! haa! nafanya utani usije nitafuta.Wewe unataka muungano?? for that matter chadema wanataka muungano??
Mbona hawaonekani zanzibar?? au muungano ni ule tu unaokubalika na bwana mkubwa tanganyika ambaye chadema wanamhusudu??
Mkuu hata mimi ningekuwa mzanzibar ningekuwa nahoji uhalali wa huu muungano tena sana tu..
Biola shaka tunautaka Muungano na wewe ndiye unatakiwa uwe mwakilishi wa Chadema Zanzibar maanake mna sheria zenu lazima uwe Mzanzibar - Mkandara atakubalika vipi? Hapa penyewe nilipo naitwa chogo na wamakonde leo nikagombee Zanzibar! Hunipendi kweli..haaa! haa! nafanya utani usije nitafuta..
CUF na CCM wote ni Wanzanzibar wenye asili ya nje sasa Chadema wataweza vipi kupenyeza hilo league lenu ikiwa Wazanzibara wenyewe wanatupwa nje..Na vipi naona Maalim Seif kanawir hadi Sigda imeondoka ama kweli Ikulu kutamu weee!
kiongozi kuhutubia wananchi mkono mfukoni ni dharau (tofautisha na kuongea na mtu, watu ama ktk mazungumzo vijiweni).
Mkuu, Seif sio mtumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, kwahiyo hawezi kuweka bendera ya Tanzania.Mbona huwa sioni Bendera ya taifa nyuma ya altare anapohutubia mwenyekiti wa ccm ambaye pia ni raisi wa URT??..pia mwenyekiti huyo hupanda gari yenye namba za kawaida huku akipeperusha bendera ya chama chake..inakuwaje huyu anapanda gari oficial ya serikali????. Je ni kulewa madaraka??. Ndivyo alikuwa akihubiri kabla ya kupata cheo hiki??. Mh.
Acha zako Mgogo angeyasema haya..Na CUf imeshindwa vipi ku penetrate Ugogoni au kwa sababu nako wakristu wamejaa muilsaam wewe tu..mistake..mimi siyo mzanzibar natokea central ukipenda dodoma mgogo halisi
Mmeshindwa ku-penatrate zanzibar kwasababu ya dharau zenu kwa uislam na wazanzibar ..sasa muungano utakuwa wa Tanganyika tu..
Kuzungumzia kunawiri kwa seif ni ujinga wa chini za kwa mtu kama wewe; unajua Slaa amenawiri tangu apokee zile pesa za sabodo; rushwa nzuri sana aisee!