Picha: Mkutano wa CHADEMA Ngorongoro jana

Wamasai wameshituka na nina sikia watakinukisha kama kule Ntwara yangu macho na masikio...

hapa ndipo m4c inapokuwa msingi mkuu.elimu ya uraia ni muhimu sana katika kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote na cyo mjini nguvu zielekezwe vijijini kule ambapo ccm wanaendelea kuwafanya raia misukule
 
Napata mshangao kuona kuwa hiyo mikataba imepangwa namna ambayo inakuwa "renewed" kipindi cha chaguzi za Tanzania. Hii ni ishara mbaya sana! Hili ni jambo linahitaji kufanyiwa uchunguzi wa kina muda muafaka utakapowasili.
 
Kwani Mwigulu alifuata nini Ngorongoro? Na amepata nini? Wao na video ya Lwakatare, sisi na wananchi, hadi kieleweke, na WASILOGWE KUKIFUTA CHADEMA USAJILI, HAKIKA NCHI HII Haitakuwa mahali salama pa kuishi, nafikiri ya Rwanda yatakuwa na nafuu, yangu macho, wafanye yote, lakini wasilogwe KUIFUTA CHADEMA kwenye ramani ya siasa za Tazania, YOU WILLTELL ME!!!
 
Back
Top Bottom