Picha: Mkutano wa CHADEMA jana - Bukoba

Cdm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Haya magamba nanyi nendeni huko basi msiishie jangwani tu !

Maviii.... jeuri hiyo waitoe wapi? CCM ilipendwa enzi zilee tuko wajinga, tukiimba CCM YAJENGA NCHI.. ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CHAMA.V. Nowdays ni Song taaam "PEEEEEEEOPLEES... ..POOOWEEEER!!!!"
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke lwakare nakukubali sana kamanda .

Tikisa pia Muleba nipo njiani tuikomboe KAGERA yetu
 
Kesho tutaona mengi barabara nyingi zitakuwa na msongamano wa fuso na mabasi ya kukodi kuzomba watu maeneo ya nje ya jiji mvuti,chanika,kazi mzumbwi,nk kuja kwenye mkutano wao hapo jangwani kesho, wanaelewa kuwa chama hakina mvuto tena bila kufanya hivyo nani ataenda???
 
Wanasayansi ya jamii hutukumbusha kwamba kila mfumo kadri unavyokuwa mkongwe hatimaye hujitengenezea nyufa za kujibomoa wenyewe, ndiyo hali halisi inayoikumba CCM sasa. Mfumo wa rushwa kuanzia upatikanaji wa serikali na utawala wake, kushindwa kutekeleza ahadi zake zinazobebwa na kauli mbiu zake nyakati za uchaguzi, kama ''MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA'', kulinda na kufumbia macho ufisadi chini ya mikataba fisadi kama vile kashfa ya Chavda na milioni 900, Bulyanhulu, IPTL na Tanesco, Richmond, Dowans, usafirishaji wa twiga nje ya nchi, matumizi makubwa yasiyo ya lazima n.k. yote haya ni baadhi ya nyufa nyingi zinazopelekea kubomoka kwa mfumo kandamizi wa chama tawala-CCM.
 
Pamebaki wapi jamani? Ukiwa na Chadema Tanzania ndogo ukiwa na chama cha ****** chonde chonde hii nchi kumbwa jamani balaa kubwa.:clap2:
 
Cdm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Juuuuuu Juuuu Zaidiiii. Sasa aingie hapa huyu jamaa PEMPERS (a.k.a NAPE) Aione nguvu ya uma iliyo na kiu ya UKOMBOZI wa Nchi yao... Chezea M4C weee.. hii kitu iko kama upepo.. Kila kona,Kila Diwani, hata raia wanaimba wimbo MUPYAAAAA "PEOPLEEES POWEEEEER"
 
Back
Top Bottom