PICHA: Mkutano wa BAVICHA Bariadi

Daah inatupatia TUMAINI. Gooooo CDM!!
 
Huo mkutano haukufanyika kwa kukosa watu,hiyo ni photoshop, BAVICHA acheni uongo
 
Ziara ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA taifa John Mnyika ulitikisa mji wa Bariadi jana jioni. Tazama picha mbali mbali za mkutano.
 

Attachments

  • 1429760248563.jpg
    82.8 KB · Views: 1,001
Mnyika akisema na wana Bariadi jana jioni.
 

Attachments

  • 1429760379029.jpg
    98.2 KB · Views: 615
Wanainchi waliojitokeza kumsikiza John Mnyika hiyo Jana bariadi mjini.
 

Attachments

  • 1429760467396.jpg
    52.7 KB · Views: 568
yule Mpuuzi Mwl wa ngoma ajiitaye Kaijage yupo wapi? Hiyo ndiyo CDM
 
Si nimesikia kulikuwa mvua hadi act wasaliti wakakosa watu!
 
Hilo joka limejaa uchawi kila sehemu. Ninajua kuna viongozi wengi wanaishi kwa nguvu za uchawi. Ninaomba wale wote wanaochukizwa na tabia hizi na ambao wangependa kuanzia sasa wachawi waumbuke na wawe chukizo machoni pa watu wote, wani PM.

Katika majeshi vikosi viko vya majini, nchi kavu, angani, na kazi mbali mbali ikiwemo mizinga, habari, hamasa, huduma, mahusiano, propaganda, na specialization za matumizi ya silaha zote.

Twende kazi!. MAKAMANDA WA CHADEMA, SONGA MBELE, TUKO SAMBAMBA NA NINYI HADI TANZANIA IMEKUWA HURU!.
 
vurugu mfanye wenyewe alafu mnachukua rb, msitafute umaarufu kupitia damu za watu fanyeni siasa safi kama za Act na CCM

Mpuuzi kweli wewe! hilo joka la makengeza lilifikaje kwenye ofsi za cdm? au lilichanganyikiwa likadhani lipo Lumumba?
 
Last edited by a moderator:
Yule mwalimu kanjanja ban inamuhusu.CC Mods
 
nitashaanga JF wasipo mfungia Ml Kaijage kwa upotoshaji aliofanya jana humu
 
hivi kwa nn hivi vyama visituhutubie mambo ya ukawa.....kuliko kuendelea huu u mono mono.....mm nilidhan baada ya kuungana sasa kila watakaposimama ni ukawa bt unfortunately ni utasikia cdm watikisa, cuf watikisa, nccr watikisa....mbona song na beat ya ukawa inaoenya nasikion vizuri sana kuliko hivi inavyoendeshwa tena....
ule muungano tutauzoeshwa lini october ama?
uwezo wangu wa kufikilia unawaza sana hivyo.
 
Hapa kwa hapa huku Mnyika huku @heche huku mwalim pele Mawazo kati lema kushoto mdee tisa slaa saba nyerere sita Lissu nane Katambi JUU KAMANDA WA ANGA MH MBOWE.


If you ain't noticed yet I have come wit a throne
See I was gone for a minute but now I'm home
The way I touch it you can feel it in your bones
*** wit the kid cause I'm taking you into another zone
See it don't matter what you think or what you say
I always love for the street every single day
You better get down on your knees, you better pray
Cause goin' against the grain of this Squad
I promise you will pay! (WHOO!)You see Flipmode is the team that I rep forever

Respecting the Code of Honor staying together

It's getting hot I think you should take off the sweater

Rattle and knock all of your troops who goin to get this cheddar

See when we come I'm wondering how they gon' manage

Show em mysteriously watch how they vanish

See when we finish just analyze all the damage

No matter who you are, we accept any and EVERY challenge (yeah)Yeah yeah, I think we got 'em again this time
Flipmode c'mon!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…