ilikuwa nyomi, nyomi kweli
Uwekwe kama nani? Na nyie wekeni zenu. Mjilinganishe.Tuwekee na ya chadema kwenye hiyo sehemu tulinganishe
acha kutudanganya hapa ,act ni mrengo wa kushoto usituletee porojo zako hapaitikadi ya act ni ya mrengo wa kati kushoto.....demokrasia ya ujamaa....mirengo ya vyama vingine ni ipi ili tupime mirengo hiyo kwa vitendo?
Naona ulikuwa na haraka, rudia kuhesabu tena mikono iliyoinuliwa.DAAAH JOB TRUE TRUE, HIZI PICHA HIZI.. MWL KAIJAGE ALITUBANIA HIZI, DAAAHHH.. KWELI KUENEZA CHAMA NI JOB TRUE TRUE.. HUENDA WAKAZIKANA WENYEWE, MKUUnngu007 ASANTE SANA PICHA ZINAJIELEZA HATA USINGEWEKA MANENO, ; PICHA YA TISA INATOA UJUMBE MZITO SANA, JAMAA KAINUA MIKONO JUU KUWAPUNGIA WATU, THEN NIWATU WATATU TU WANAMSAPOTI.... TUKUTANE OKTOBA. HUU UZI HUU...
Act imekuja kuua kile chama cha wachaga moja kwa moja.