Kweli kabisa na hao walioshika mabango wamejipanga vizuri na wameyashika vizuri kiasu mpaka inatia raha kwa kweli daaah kweli ACT Wazalendo wako vizuri!!!
Kweli Mkuu maana MBOWE Alikopa BILLIONS za pesa NSSF Then badala ya kulipa deni anaingia makubaliano ya KIFISADI na SUMAYE na KINANA(KATIBU MKUU CCM)na kukwepa DENI.MBOWE ni KIBOKO...