Haya bwana!! Tumeona ila unganeni na vyama vingine vya upinzani kama vikihiarika ili muufikie kwa urahisi ukombozi wa mtanzania wa sasa.Kura yangu ni ya upinzani ila mkiendelea kukagawanyika namna hii mtawakosesha raha wapenda mabadiliko ya kweli.
Wamevuna wanachama elfu ngapi huko singida jamani mbona sijawahi kusikia walichovuna zaidi ya watu tu.maana hata mm wakifanya mkutano nilipo nitaenda kusikiliza Sio wao tu chama chochote ila siwezi kuwapa kura yangu