Picha:Mila kama Hizi kwa Watoto Zipingwe Vikali

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,882
Reaction score
5,901
4479694_dindin1_jpegb82b27b81281b0d0c0ad47a2116aaad1

Mtoto akiwekewa alama za usoni kama sehemu ya Utamaduni wa Mtu Mweusi.
 
Mila siyo yako waachie wenyewe.
 
4479694_dindin1_jpegb82b27b81281b0d0c0ad47a2116aaad1

Mtoto akiwekewa alama za usoni kama sehemu ya Utamaduni wa Mtu Mweusi.
Law 21:5; Kum 14:1; Yer 9:26 28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ...... ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lo lote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; ...
Sio bure Hili ni tambiko na agano LA DAMU
Kyokola, mshana jr
 
Biblia imeandikwa katika Mambo ya Walawi 19:28 “Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu, mimi ndimi BWANA”
 
Hakuna mila za ushoga na usagaji, ni mambo ya mtu binafsi.
Sio tena mtu binafsi wazungu wanashadidia mpka wanataka kukata msaada halaf unasema tu binafsi au inakuhusu
 
Narudia tena, hakuna mila ya ushoga wala usagaji hizi ni tabia za watu wala siyo mila, labda hujui tofauti ya mila na tabia.
 
Back
Top Bottom