Picha: Miji ya Luanda nchini Angola

Tanzania sisi miundombinu yetu tulishaiharibu toka enzi za kale sasa hivi hatuwezi kuwa na sehemu kama hizo hata iweje.Labda tuweke Dozer toka Kimara mpk Ferry then tuanze fresh.
 
hii sijui n bus stop sijaona wale wauza pweza au wale wamachinga wapa ga vitu chini kwenye stend ina maana hawa jamaa hata yale maji ya azam au kiloba hapo stend hayauzwi au juice ya miwa uwiiii huko sitaweza kuish bora hapa shamban kwa bibi
 
Picha ya tatu hapo ni jirani na Airport, pazuri sana, ila siku ya kwanza nilibabaika sana sababu magari yanaendeshwa right hand, full kujichanganya.
 
Tanzania sisi miundombinu yetu tulishaiharibu toka enzi za kale sasa hivi hatuwezi kuwa na sehemu kama hizo hata iweje.Labda tuweke Dozer toka Kimara mpk Ferry then tuanze fresh.

ngudu yangu kw mji kama Dar huenda ikatugharim sana lakini kuna miji inayokua kwa kasi kama Mwanza,Arusha,Mbeya na Dodoma serikali ikiamua kuipangilia hii miji mapema tunaweza kuwa mara mbili ya jiji la luanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…