Picha: Membe na 'Mcheza Disko'!

Picha: Membe na 'Mcheza Disko'!

Hamna hujanja ponda msiponde huyo ndo raisi wenu hajaye washauri watamwambia utani tena basi.plus dini that is the one.. Belive me..
 
Hamna hujanja ponda msiponde huyo ndo raisi wenu hajaye washauri watamwambia utani tena basi.plus dini that is the one.. Belive me..

Kwa njia ya kulazimisha na kama akiweza kupata msaada wa vyombo vya dola kweli atakuwa raisi. Lakini ukweli utabaki palepale mhe. Membe kwa uwezo na matendo yake hasitahili kuwa the next president after kikwete! Watz lazima watambue kuwa si kila waziri wa ccm anastahili kuwa raisi! Mhe. Membe ni kati ya mawaziri wasiostahili nafasi hii ya uraisi.
 
Uzuri wa membe ni kuwa na kipaji cha kulamba matapishi yake mwenyewe. I believe he is doing a great job on this area..! Ccm hoyeee, hoyeeee..!
 
Huyu ndie "Rais " membe ambae blog yao ya foreign..wameandika Keneth Kaunda ni marehemu na ameshazikwa.....


Mama Maria Nyerere akiweka maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zambia, Marehemu Mama Betty Kaunda. Mama Kaunda alizikwa tarehe 28 septemba 2012, mjini Lusaka, nchini Zambia. Aidha, Mwili wa Marehemu Mama Kaunda ulizikwa kwenye shamba ambalo ni eneo alilozikwa Mmewe, Hayati Dkt. Kenneth David Kaunda. Kushoto ni Mhe. Balozi Grace Joan Mujuma, Balozi wa Tanzania nchini Zambia.
 
Binafsi namuona membe kama kiongozi hasipima anasema nini. Nilimsikia siku hiyo akimtaja raisi huyu kijana wa madagasca kama mcheza disco bila kutambua huyu raisi analiongoza taifa huru. Binafsi namuona membe kama asiye na break ktk matamshi yake. Simuoni kama kiongozi makini hata kidogo. Hafai kuwa raisi nchi hii, hana staha!
sio kuwa rais hata uwaziri huu wa mambo ya nje unamuelemea! sana sana huyu angejaribu kwanza mwenyekiti wa kijiji ndio aanze kupanda taratibu!
 
Huyo Joka la Mdimu amesomea Ufitini na Ufitinishaji! Hastahili hata kuwa Balozi wa Nyumba kumi, Ashakum si matusi mimi namuona anendana sana na sera za Gordon Brown...
 
Ccm wampitishe huyu waturahisishie kazi ya kuikomboa nchi hii 2015
 
Ajue hii si nchi ya majuha tena,Hatuwezi kuongozwa na kichwa cha samaki.
 
Hivi siasa na na kuwa kigeu geu vinaendana eeeh!
 
Membe bora aanze kumwunga mkono Lowasaa mapema. Coz this guy hata uwaziri tu hafai.. nakumbuka alipiga mkwara kwamba anawabaya wake 11 na siku akichukua nchi inabidi wahamie Kenya..stupid kabisa nani atampa nchi Membe ambaye hana uelewa wa kutosha na maamuzi yake..
 
Naomba mwenye kumbu kumbu kuhusu kauli yake juu ya mahakama ya Kadhi na Tanzania kujiunga na OIC,membe hatufai kabisa atasaini kuuza nchi na vilivyomo ndani akishtuka na ukigeugeu chake watamfunga na watanzani tutakua misri kwa mafarao, mwenye masikio na ayasikie haya
 
Binafsi namuona membe kama kiongozi hasipima anasema nini. Nilimsikia siku hiyo akimtaja raisi huyu kijana wa madagasca kama mcheza disco bila kutambua huyu raisi analiongoza taifa huru. Binafsi namuona membe kama asiye na break ktk matamshi yake. Simuoni kama kiongozi makini hata kidogo. Hafai kuwa raisi nchi hii, hana staha!



Membe ni pembe la ng'ombe vibwagizo ndo jadi yake na kuimba mchiriku kutamfaa sana 2015 CHADEMA wakishachukua nchi yao.
 
Membe akiwa na Rais Rajorina. Nakumbuka Membe alivyomwita huyu bwana "Mchezo Disko"
attachment.php

Kuna umuhimu wa kutafakari kabla ya kuongea jambo,
 
Back
Top Bottom