Picha: Mechi Iliisha Hivi

ikipendaroho

JF-Expert Member
Jul 26, 2015
3,038
2,000
Ndio mwanzo wa maridhiano. Hata Trump kampigia simu naibu Kamanda mkuu wa Taliban jana.
 

kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
536
1,000
Kikundi kimebaki na watu 5, halafu kibaya zaidi hawajui hata wanafuata itikadi gani......nani punguani awape nchi , ndo mana jimboni hata ubunge wananchi wamegoma...!
 
Top Bottom