Picha: Mbunge maarufu Joyce Mukya

Status
Not open for further replies.
Huyo ndo anaibenjua amri ya sita na MBOWE,PENZI KITOVU CHA UZEMBE.
 
Hivi vitimaluuum ni chakula cha wakubwa ccm na chadema

wakubwa mnafaidi bhana
 
ccm mnamabo kweli kweli amumuonelei PINDI CHANA aliye katiza ziara amelipwa mamilioni aka badili safari na kwenda huko anapopajua yeye,na yule mbunge wenu DR Mwanjelwa aliyeiba mkufu ubelgji?ccm ni genge la wauza unga na majambazi kinana amekwenda TUNDURU akuzungumzia kuhusu ujangili kisa yeye ndiye muhusika mkuu mnalo mwaka huu kama kiseke ahahahaha
 
hoya ni mfumo wa bunge ni mbovu na unaruhusu ufisadi,hivi mbona amzungumzii maziwa ya kunywa asubuhi yanatumia mabilioni?tanzania ushabiki unatumaliza hasa vijana wenzetu wa lumumba vijana maarufu wa buku7
 
Kati ya Mkulu na KUB nani zaidi? linganisha huyo aliyeshika kijitabu na mkono mmoja ameshika sikio na JOYCE M.

Hizi cheni miguuni na skirt zilizoishia juu ya magoti zinaruhusiwa ndani ya bunge? Mambo yamebalika tangu enzi zetu!
 




HUYU NDIE MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA ALIEKATISHA ZIARA YAKE YA DOMINICA REPUBLIC KWA ODA YA MKUU WA KAMBI YA UPNZANI BUNGENI
Sasa ulitaka akatishe ziara kwa amri yako? Hujuwi Mbowe ni bosi wake? Kwani angekuwa ni Mnyika amekatishwa ziara ungebweka hapa kama mbwa? Mwacheni Mwigulu akaandae mabomu yake ya kulipulia raia wema.
 
Hizi cheni miguuni na skirt zilizoishia juu ya magoti zinaruhusiwa ndani ya bunge? Mambo yamebalika tangu enzi zetu!

Hawa c ni km machangudoa tuu...machangudoa wako kila sehemu..mtaani..ofisini..na bungeni ndio hao..viti maalum n chakula ya wakubwa....ukicheki hawana kitu kichwani
 




HUYU NDIE MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA ALIEKATISHA ZIARA YAKE YA DOMINICA REPUBLIC KWA ODA YA MKUU WA KAMBI YA UPNZANI BUNGENI
Shonza upo? Rudi chadema maana huko wanakuchezea tu kama kimpira cha makaratasi, kiperedosi. Eti wanasema wewe umekuwa kiblanketi mikutanoni!
 
Umeona eeh!!! Buku 7 hoja SIFURI!!! Pumba kama hizi wao ndio wanaziweza sana.

Tena subiri utaona thread hiyo itadumu mpaka kesho kutwa. Watatoka watarudi wamo tuu. Bila kila mtu kuchangia post 60 hakijaeleweka bado. Mkuu BAK waone jamaa hapo wako kazini jioni wanakusanya mpunga 7 thou, maisha yanaenda akili inadumaa.View attachment 127501
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…